Jana ilikua ni siku ya kuzaliwa ya mwanamitindo Kendall Jenner ambae amefikisha miaka 20, Kendall ana toka katika familia ambayo kila mmoja wao ana kipaji lakini hasa wame kisiri upande wa mitindo. Kendall akiwa ni mtoto wa tano kati ya watoto saba yeye ni mwanamitindo na hivi karibuni ametajwa kuwa ni kati ya wanamitindo wanalipwa kiasi kikubwa zaidi.
Jana katika birthday yake mastaa wengi walikuwepo kama Gigi hadid ambae ni rafiki yake na Willow Smith Je Walitokaje?
mwanamitindo Gigi Hadid
Nazanin Mandi na mwanamuziki Miguel
Willow Smith Mwanamziki pia Mwanamitindo
Birthday Girl ndani ya Jumpsuit nyeusi
Khloe Kardashian
Kim Kardashian
Kourtney Kardashian
Kylie wakati wenzie wote wamevaa nyeusi yeye alitoka kivingine kidogo japo nguo ni nzuri lakini mbona kama ime mvaa
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mitoko-ndani-ya-kendall-birthday-party/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mitoko-ndani-ya-kendall-birthday-party/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mitoko-ndani-ya-kendall-birthday-party/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mitoko-ndani-ya-kendall-birthday-party/ […]