Beyonce, Rihanna na Naomi Campbell ni wanawake ambao huwa hawakosi likija katika swala la mitindo, safari hii kidogo wame tunyoosha kutokana na mavazi yao waliyo vaa pindi walivo toka katika dinner date na marafiki au wenzi wao
Beyonce alitoka katika dinner date na mumewe Jay Z ambapo si kama ambavyo wengi tulizoea kumuona labda kaa ki mini dress, skirt au hata gauni refu la usiku safari hii Beyo ame vaa gauni tu la kawaida na chiffon lenye maua maua huku akiwa katupia na leather coat
wakati Rihanna na Naomi nao walionekana ku dine pamoja huku wote wakiwa wame valia gauni nyepesi ndefu zenye maua maua ambapo la rihanna kidogo lilitaka kufanana na dera japo si dera
Naomi Campbell
Rihanna
so next time ukitaka kwenda dinner na una taka kuwa kawaida una weza kuvaa nguo yako simpe tu kama wakidada hapo juu, kuwa tofauti
Related posts
2 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you can find 14273 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mitoko-ya-dinner-date-kutoka-kwa-ririyonce-na-naomi/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mitoko-ya-dinner-date-kutoka-kwa-ririyonce-na-naomi/ […]