SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MITOKO YA FRIDAY NIGHT IDEAS KUTOKA KWA MILLEN MAGESSE
Mitindo

MITOKO YA FRIDAY NIGHT IDEAS KUTOKA KWA MILLEN MAGESSE 

ijumaa imesha fika na ina julikana ikisha fika ijumaa basi tuna waza kitu kimoja tu BATA, twende wapi tuka spend naam na hivi ni mwisho wa mwezi tuna weka tu heshima bar, ila sasa uta heshimikaje kama huja pendeza? hapa ndipo linapo kuja swala zima la mitoko Utoke Vipi? usiumize kichwa maana hio ni kazi yetu sisi kukupa ideas za nini uvae  na huwa tuna kupa ideas kutoka kwa wakali wa hizi mambo, na huwezi kuwataja halafu umuache mwanadada Millen Maggese International Model ambae aliwahi kuwa Miss Tanzania.

Haya tuangalie hizi kutoka kwake na uone ipi inaweza kukufaa

14032990_1825242284372656_1385361169_n

Kama huendi sehemu inayo hitaji heels au hujisikii kuvaa heels basi hio little black dress na gold ballet shoes itakufaa sana una weza ku switch ukatoa miwani na iko kipochi ukabeba clutch14099525_729922043827013_1231219734_n

Nude bandage dress na gold & white heels

14240821_1136958226399148_1364932711_n

Una weza ku show off maungo yako kwa kuvaa black crop top, min-skirt na lace up heels 14309832_513840048819073_556260692_n

Hapa pia una weza ku switch mkoba na miwani

hope tume kusaidia cha kuvaa kwa maoni zaidi tembelea account zetu katika mitandao ya kijamii

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Instagram – afroswagga

Related posts