SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MITOKO YA KAZINI WEEK HII
Mitindo

MITOKO YA KAZINI WEEK HII 

Jumatatu ime fika na ni mwanzo wa mwezi, una weza ukawa ume choka na bata la weekend mpaka ukasahau kupangilia mitoko yako ya kazini lakini pia una weza ukawa hauja choka lakini ukataka kupata ideas za nini uvae kazini week hii, hizi ndizo ideas chache kutoka kwa mafashionista hawa ambazo una weza kuiga

 

13298178_625026584323164_1011662531_n

Contrast Wave Midi Skirt 14262612_1622029101428605_1083811542_n

 

Ruffled Skirts14295518_1793719400871540_6623524772334534656_n

14309781_1150559811676793_5113554548987789312_n

13735987_1413674341992989_1070689788_n

Blazer & trouser outfit

12918436_796388167129606_102340249_n

ni matarajio yetu umepata idea hata moja,

kutupa maoni yako pitia katika mitandao yetu ya kijamii

Instagram – afroswagga

Twitter afroswaggattz

Facebook – afroswaggamag

Related posts