na hii mvua inayo endelea isiyo julikana itaisha lini au saa ngapi itanyesha ni ngumu mno kuchagua mavazi ya ofisi lakini kitu kimoja ambacho hakitakiwi kukosa kwenye vazi lako la ofisi wiki hii ni kikoti (blazer) hakikisha una vaa au kubeba kikoti kwenye mkoba wako ili kuji hami na baridi endapo mvua itanyesha. Mitoko yako ya kazini wiki hii inaweza kuwa hivi

bold-girl-work-outfits-to-make-a-statement-9 bold-girl-work-outfits-to-make-a-statement-16 bold-girl-work-outfits-to-make-a-statement-18

outfit1-8-640x957 outfit6-9 outfit9-8-543x960

Comments

comments