SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MITOKO YA OFISI DO & DON’T
Mitindo

MITOKO YA OFISI DO & DON’T 

Mstari wa kora ya shati lako usiwe mrefu zaidi ya Inchi4 kutoka kwenye mstari wa shingo yako

main.original.640x0c

Usivae Nguo ya mikono mwembamba sana hata kama una vaa kata mikono hakikisha kuna vijimikono at least vinaonekana

Screen-shot-2014-06-11-at-5.56.42-PM

ukivaa jeans hakikisha ume vaa na kitu ambacho kina fanya uonekane uko official kama Kikoti au viatu vinavyo endana na kazini

main.original.640x0c

Kama utavaa nguo ya kuonyesha sana ya juu (top) basi vaa kikoti kwa juu ili kuficha maungio yako kuonekana

main.original.640x0c

Kama ni skirt fupi hakikisha ufupi kwenda juu hauvuki magoti na kwenda chini ni chini kidogo ya magoti

Screen-shot-2014-06-11-at-5.57.18-PM

kama utataka kuvaa nguo zenye maua maua hakikisha una vaa na shati au suruali yenye rangi moja, usichanganye sana nguo

main.original.640x0c

 

Related posts

3 Comments

  1. maltipoolovers

    … [Trackback]

    […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mitoko-ya-ofisi-do-dont/ […]

  2. debt consolidation

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mitoko-ya-ofisi-do-dont/ […]

  3. golden teacher mushroom no effect,

    … [Trackback]

    […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mitoko-ya-ofisi-do-dont/ […]

Leave a Reply