Irene Kiwia aliwahi kuwa mwanamitindo na pia alikua Media Personality, Aliweza kuanzisha kipindi kiitwacho “mimi ni kisura najitambua” ambapo alikua ana tafuta vizura kutoka sehemu mbali mbali Tanzania. Irene ni moja kati ya wanawake wanao itangaza vyema Tanzania kwa sasa ana kampuni yake iitwayo Frontline Porter Novelli.
Kutokana na hayo yote leo tumeona tuibe Idea zake za mavazi ya ofisini
Full Suit ya rangi moja amechagua dark blue ni rangi nzuri kwake na make up yake si nyingi sana
Mid Skirt ni mtoko anao upendelea akiwa ana enda kazini as tumemuona mara nyingi akiwa katika outfit za aina hii
Pencil Mid Skirt hapa akiwa ame match skirt na viatu
Hii ni nyingine tena mid skirt tumependa jinsi alivyo weza kuringanisha rangi “Elegant”
Kigauni ambacho kaki accessorize na koti mid heels na pochi hili kuleta ile office feeling kanoga mno, hii outfit inaweza kubadilika ukitoa kikoti na pochi ukaongezea accessory nyingine ikawa kwa ajili ya mtoko wa usiku “multi purpose outfit”
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you can find 71068 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mitoko-ya-ofisini-kutoka-kwa-irene-kiwia/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mitoko-ya-ofisini-kutoka-kwa-irene-kiwia/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mitoko-ya-ofisini-kutoka-kwa-irene-kiwia/ […]