Tulisha weka outfit ideas za Valentine ambazo zile nyingi zilikuwa na rangi nyekundu, lakini leo tumeamua kuwaletea wale wanao penda kuwa wa tofauti, watu wengi siku hiyo watataka kuvaa nyekundu kama ishara ya upendo lakini kuna wale ambao wao hapana wana taka kuonekana kama wanavyo onekakanaga siku nyingine which si kitu kibaya, hizi ni ideas chahce tulizo kuletea uvae nini
Kama una date ambayo huitaji so much effort two pieces bandage style ni best choice kwako, as huwa zina mkaa vizuri mtu yoyote na zina flaunt mwili wako
The jumpsuit game, pia kuna wengine hatupendi nguo nyingi.
cold shoulder dress, cold shoulder zipo kwenye trendy saa hivi na somehow we find them sexy
off shoulder dresses pia una weza kuvaa zikiwa na rangi tofauti na nyeukundu
Sex yin in slip in dress
Maxi skirt are life
Related posts
2 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mitoko-ya-valentine-2/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mitoko-ya-valentine-2/ […]