Kwa wenzetu kila mtu hupendeza siku ya Christmas wana isheherekea hashwa, na mwaka huu kila mtu ame jaribu ku slay vile anavyo jua/pendezewa na hawa ndio walio tuvutia zaidi
fashion Blogger & vlogger kutoka Nigeria Shirley B Eniang Alivaa red long dress yenye maua meusi
Neymar alivaa red & White (santa in short pant)
John Legend na mkewe na mtoto wao too cute
Terrence Jenkins na Jasmine Sanders
Kendall, Caitlyn/Bruce & Kylie Jenner
Teyana Taylor na Familia Yake in Red outfits
SteveHarvey na MarjorieHarvey giving us all sort of couple goals
The Murphy’s
Mariah Carley
Ludacris na Familia yake in Pj’s
NiecyNash as Mrs. Claus
Ciara, mumewe na mwanae
Cristina Millan na mtoto wake wa kike Too Much cuteness
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…