SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MITOKO YA WEEKEND KWA WENYE MIILI MIKUBWA
Mitindo

MITOKO YA WEEKEND KWA WENYE MIILI MIKUBWA 

Kizungu wanaita plus size people lakini kiswahili tunaita wanene ila pia haija kaa vizuri kama kuwaita mtu mwenye mwili mkubwa/mpana, huwa wanapata shida sana kwenye kuchagua nguo hasa za kutokea kwa kuona hawato pendeza kisa ana miguu minene au ana nyama nyingi za mkono lakini la hasha kila mtu ana mvuto wake endapo tu ata jua jinsi ya kujipangilia, hizi ni outfits ideas zinazo weza kukusaidia wewe mtu mwenye mwili mkubwa week hii na uka pendeza

Suruali na T-shirt, suruali na T-shirt huwa hamkatai mtu uwe una mwili mkubwa au mdogo hakikisha umevaa kuendana na rangi pia usisahau kubeba viurembo urembo kama una mitoko ya casual hili ni chaguo zuri pia.

avaviv1 blackwhite boohoo4

Body Con dress/ crop top na skirt, hupendeza sana kwa watu wenye miili hii hasa kwa sababu ina onyesha umbile lilivyo kwaio kama una ki party au dinner hili ni chaguo zuri zaidi.

x15932

Shift dress hapa sasa ndio penyewe maana umkute mtu mwenye mwili mkubwa kavaa shift dress vile inavyo takiwa basi hutoisha hamu kumuangalia, kama una mitoko na marafiki wa kike kwenda movies hili nalo si chaguo baya

x15929

Jumpsuit, hukaa  vizuri kwa watu wenye miili mikubwa na hii ni popote unaweza kutoka nayo

jumpsuit3

Related posts

3 Comments

 1. Best Psychedelic Store Perth

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mitoko-ya-weekend-kwa-wenye-miili-mikubwa/ […]

 2. serviços informática

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mitoko-ya-weekend-kwa-wenye-miili-mikubwa/ […]

 3. 티비위키

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mitoko-ya-weekend-kwa-wenye-miili-mikubwa/ […]

Leave a Reply