Kinacho trend sasa hivi katika mitindo hasa upande wa mishono ya vitenge ni kumix aina tofauti za vitenge katika outfit moja, ambacho unatakiwa kuwa makini nacho ni uwiaono wa rangi katika kitenge chako, hii ni baadhi ya mishono ambayo tumeiona

Puffy Hands

Mix it & match it