SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MMH KANYE WEST NDANI RIPPED JEANS
Mitindo

MMH KANYE WEST NDANI RIPPED JEANS 

Ripped jeans ni zile jeans zilizo chanwa chanwa magotini na hii ndo aliyo itinga Kanye West katika show ya Balmain huko Paris, ambapo kuna Paris Fashion Week. Tumesha waona watu maarufu wengi wakiume wakiwa katika Ripped jeans watu kama Chris Brown, Pharell Williams, na wengine wengi lakini hii ya Kanye kidogo imevuka mpaka. Ripped jeans za kiume kidogo zina kuwa na stara yani zina chanwa kidogo tu magotini lakini ya Kanye imeraruliwa hadi mapajani na inaonekana kama Ripped Jeans ya mkewe Kim Kardashian japo hatuwezi kusema wame azimana maana ya Kim ni ya blue wakati Kanye ni nyeusi, Je wewe Fashionista mwenzetu unaonaje? imezidi au kawaida ndio mambo ya haki sawa na Fashioooooon?

31D3FC7300000578-0-image-m-38_1457044741724 31DE2E7600000578-0-image-a-67_1457130889883 31DE68CC00000578-3477477-image-a-57_1457132968393 31DE274900000578-0-image-a-70_1457131748848

Related posts

3 Comments

  1. สล็อตออนไลน์

    … [Trackback]

    […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mmh-kanye-west-ndani-ripped-jeans/ […]

  2. เด็กเอ็น

    … [Trackback]

    […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mmh-kanye-west-ndani-ripped-jeans/ […]

  3. dumps shop

    … [Trackback]

    […] There you can find 68512 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mmh-kanye-west-ndani-ripped-jeans/ […]

Leave a Reply