SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Model Of The Week – Lorraine Marriot
Mitindo

Model Of The Week – Lorraine Marriot 

Kama wewe ni mpenzi wa mitindo hili jina si geni kwako lakini kama unafuatilia ila sio sana unaweza ukawa hujamjua anaitwa Lorraine Marriot sisi tunamuita kinyonga Lorraine ni mpole sana lakini anabadilika na kuwa tofauti katika kazi yake (she has that Michael Jackson Character), 2013 alishinda  first runner up Tanzania top model,2014 aliingia katika Miss grand international Tanzania na alifika katika level ya top 20 national costume,
2015 hapa ndipo tulianza kumjua alishinda Miss universe Tanzania na akachaguliwa katika Missology Wordwide kama top hot picture na kuchaguliwa kama African Barnie wa mwaka 2015,

unaweza kuona jinsi gani ana potential tumepata nafasi ya kuzungumza nae na haya ndiyo mengine mengi ungependa kuyajua kutoka kwake,

Afroswagga: Umekua Kimya Baada Ya Miss Universe kuna kitu tukitegemee au umeamua kuwa low profile?

Lorraine: Nina vitu ambavyo nategemea vifanyike kazi kadhaa na program tofauti lakini nimeamua pia kuwa low profile #mambo ni mengi siku hizi

Afroswagga : Umekua model kwa sasa tuambie ni kitu ambacho ulikua unakipenda?

Lorraine: No,I have always been a model before becoming a beauty queen na ndo kitu ambacho kilinivutia. Yes modeling nikitu napenda kufanya

 

Afroswagga : Nani Ana kuinspire kufanya kazi umodel?

Lorraine: As per growing up nilikuwa naambiwa nafaa kufanya urembo but nilivyo endelea ndo nikiwa naona models wakubwa zaidi kina Tyra banks wakati ule wa Nokia face of Africa

Afroswagga: mbunifu mkubwa ambae ungependa kufanya nae kazi?

Lorraine : Mbunifu oh lord I think all the great ones Tom ford,Oscar de la renta, zac Posen, Rihanna,Kanye , Victoria secret 🏽 and many many more

Afroswagga : umeshapata  international modelling gigs Kama ndio tuzitegemee lini?

Lorraine : International gigs not really but am planning for some tuombe uzima

Afroswagga : models wengi sasa hivi hasa humu mitandaoni wanapiga picha za nude what’s your take on this?

Lorraine : Oh nude is the freedom of oneself I have no problem with that but atleast sifanyike kimpangilio sio kufanya kugeza or ilimradi tu.And kuna watu na watu jamani haha pls wengne waache tu it’s ridiculous concepts/ideas n mostly just photographers using them🤷🏽‍♀️

 

Afroswagga : tips tatu kwa upcoming models

Lorraine: 1. be humble be respectful
2.do your best no matter what they say play your part well give them all you got
3.do research on what you like or love as of modeling #learnalittle

Afroswagga : tumeona umekua video vixen kwenye video ya Eddy Kenzo ilikuaje? any experience umepata? 
Lorraine : Well I had a friend I worked with mda nyuma kidgo called me and told kuhusu the gig and I was like okay I’d love to do it na walikuwa wanatafuta watu mfano wangu so I met up with Kenzo he saw me told me the concept and we had to work from there. So many experiences you get working with different people from the directors MUA’s to the artist yaani so much.
But I also did a video before this ya SALIMA Linex ft Diamond Platnumz, so I can say I knew what I was to do.

Afroswagga: apart na umodel unafanya nini kingine?

Lorraine : Well am a big sister,a coach/trainer for models beauty queens n pageants,work on my own projects,a friend,a lovern many more

Afroswagga : tutegemee nini kutoka kwako?

Lorraine : There are things that I am planning to do and with culture mara nyingi tunaachaga kwanza kutosema mpk tumeona vimetendeka. So I can say few things zipo fingers crossed prayers n all and pap one day yes.

Afroswagga :  chochote ungependa kuwaambia watanzania..?

Lorraine : Ooh oh I have a lot to say especially from my area of work ingekuwa interview ya Tv it could be short n clear but as am writing I would like to say Modeling ni kazi pia and Tunaomba waTanzania waheshimu what we do as much as they respect photographers director designers well we need that respect on our work. And support to our beauty Queens who go represent our country from all stages not only one Ms Tanzania zipo nyingi universe,africa,tourismSupranational,Topmodel, extra and many more wafungeke zaidi.
And thank you guys for having me as your Model of the week and questions and following what I do so much thanks #Iappreciateit

Related posts

1 Comment

  1. instagram download video

    … [Trackback]

    […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/model-of-the-week-lorraine-marriot/ […]

Leave a Reply