SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Model Of The Week: Miki Deo
Mitindo

Model Of The Week: Miki Deo 

Tumemuona kupitia mitandao ya kijamii, tunaweza kusema ni moja kati ya watu walio tufurahisha lakini pia ame tusuprise, watu walio fanikiwa huwa wanasema usiogope kujaribu na hicho ndicho ambacho Miki amefanya ame dare kujaribu, hatukumtafuta bali ametutafuta mwenyewe hapo ndipo unaweza kuona kiasi gani ana uchu wa kufanikiwa (kutoboa) katika kazi yake. Amekua Model wetu wa week hii na tumefanikiwa kujua mawili matatu kutoka kwake
 Afroswagga – Tuambie Kuhusu Wewe
Miki- Hello ,jina langu halisi ni miki deo,nina umri wa miaka 20,naishi upanga pia me ni mwanamichezo ( skateboard ) na graphics designer ila Modeling ndio kitu nachopenda.
Afroswagga -Ulianza Lini Kupenda Kufanya Kazi ya U-model?
miki- Me nimeanza kufanya modeling 2015 baada ya kuhitimu shule.
Afroswagga -Tuambie Kuhusu Style Zako Za Mavazi Unatoa Wapi Inspiration?
Miki- mtu anae nivutia katika mavazaji ni NYJA HUSTON
Afroswagga – Model Gani Ana Kuinspire?
Miki- kwa upande wa models DAVIDSON OBENNEBO ndio model ninae mkubali sasa yupo ( elite models ).
Afroswagga- Ungependa Kufanya Kazi Na Mbunifu Gani Mkubwa Tanzania Na Nje Ya Nchi?
Miki-Ndio ningependa kufanya kazi na SHERIA NGOWI kwa hapa tanzania na ARMANI kwa nje kwani napenda jinsi kazi zao zinavyo fanya vema katika tansinia hii
Afroswagga – Je Umeshawahi Kukataliwa katika Model Casting Sababu Ya Ngozi Yako?
Miki-Mh Hapana sijawai kataliwa katika casting labda juges wachague wenye mionekaniko tofauti ( mabaunsa ). 
Afroswagga -Kuna Model Mkubwa Ulaya Winnie Harlow Ana Tatizo Kama Lako Je Wewe Ilikutokea Ukiwa Umezaliwa Au Ni Matatizo Ya Ukubwani?
Miki- Nor sikuzaliwa nayo lakini ilinianza tangu nipo darasa la pili
Afroswagga – Tatizo Gani Kubwa Umewahi Kukumbana Nalo Katika Hii Tasnia?
Miki- Sijawain kumbana na tatizo lolote sababu wengi waliopo kwenye indrusty wanajua model lazima uwe UNIQ.
Afroswagga – Tuambie Machache Ambayo Ungependa Watanzania Wafahamu Kuhusu Wewe.
Miki- Me ningependa kuwa ambia watanzania kuwa Modeling sio uhuni bali ni kazi kama kazi zingine sababu huweza mpatia mtu lidhiki pindi inapo kuwa ipo na sio lazima uwe na maumbile makubwa ndio uweze fanya modeling hapana modeling inahitaji mtu mwelevu na mwenye muonekano wa tofauti.
Tunakutakia kila la kheri Miki we cant wait to see you katika runways, Unaweza kumfollow Instagram @miki.deo. Kusoma Models of the week wetu wengine bonyeza hapa na hapa 

Related posts

3 Comments

  1. find out this here

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/model-of-the-week-miki-deo/ […]

  2. wapjig.com

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/model-of-the-week-miki-deo/ […]

  3. Anabolika e-shop

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/model-of-the-week-miki-deo/ […]

Leave a Reply