Tunajua kati ya vigezo au njia ya models kufika mbali katika Tasnia hii ya mitindo ni kupitia au kuwa na modelling agency nzuri itakayo msimamia vizuri, lakini hapa kwetu imekuwa tofauti kidogo modelling agency zipo chache na ndani ya hizo chache kuna ambazo hazifanyi kazi zao sawa sawa, labda hii ni sababu kubwa ya models wetu kuishia kuwa famous Tanzania lakini wasifike mbali,
Lakini pia models wetu hawajui maana au kazi ya agency ni nini ndio maana wanaishia kusainiwa na agency mbovu mwishoe kuishia kuto kutoka na wengine kuamua kuji manage wenyewe which is not a bad thing kama una uwezo wa kuji-manage.
Modeling Agency ni nn?
Modeling Agency ni company ambazo husaini models na kufanya kazi nao, hawa huinvest pesa zao katika upcoming models na kuwakuza ili kufanya agency yao ikue na kuendelea, kazi zao ni kuwatafutia kazi models kwa wabunifu, kampuni za matangazo n.k. Wao hupata hela kupitia commission waliyo kubaliana na model na head of agency. Tunaweza kusema ni mawakala wa models
https://www.instagram.com/p/BZEHI3VlOP1/?hl=en&taken-by=nilerbernard
Je ni lazima models kuwa / kufanya kazi na Modeling Agency? – jibu si lazima lakini kwetu tunge kushauri ufanye kazi nao, kizuri kuhusu modeling agency ni kwamba wao ndio wanafanya kazi zote ikiwepo kukutafutia wewe deals, kuhakikisha upo vizuri kila siku ili uendelee kupata deals na wao wapate pesa.
Vipi Utajua Umepata Agency Nuzri – Angalia jinsi ambavyo wana kupatia kazi wengi huanzisha hizi agency kwa majina au manufaa yao wenyewe utakuta kila siku wana saini models lakini huoni hao models wakifanya kazi, so first thing first angalia mzunguko wa kazi je? deals zinakuja? wanakutafutia kazi sehemu mbalimbali? kama hapana je kwanini? sababu ni wewe au wao?
- Mahusiano yako na wao – Kama una mahusiano mabaya na agency ni kawaida wao kukuweka bench kwaio utacho takiwa kufanya ni kujaribu kuangalia mahusiano yenu yapoje? mnapatana? hawaendi nje ya mkatabwa wenu? kama wana kufanyia kila kitu na haujisikii kuwa left out basi thats a good agency lakini kama unaona kila siku wenzio wanapewa wewe hupewi jua kabisa si sehemu inayokufaa
-
Je, wan kulipisga ada zisizohitajika? – agency nyingi wanalipisha models wao katika vitu kama portfolio, comp cards and or website/digital fees vingine zaidi ya hivo ni wao wanao takiwa kulipia, jaribu kuangalia wana kulipisha vitu gani na gani ukiona wana vitu vingi basi jua hapo umepotea njia.
Je Nifanyaje Kupata au Kuchukuliwa na Model Agency? – hatua ya kwanza unayohitaji kufanya ni kuwasilisha picha kwa wakala 9agency) , au mashirika, ambayo unayopenda. kwaio hatua ya kwanza ni kupiga picha nzuri na kuziwasilisha kwa Agency wao wakikupenda watakuchukua.
Lakini unatakiwa kutambua kuna wengi ambao wanavigezo kama vyako unatakiwa uwe creative katika upigaji wako wa picha do your best kuonekana vizuri na kwamba unataka kuchukuliwa, ni kama kazi unasoma upate cv nzuri upate kuajiriwa basi ni sawa na modeling agencies huchagua wale ambao wana kidhi mahitaji lakini pia wapo tayari kwenda extra miles, chagua agencies unazo zipenda na upeleke picha zako, usibweteke peleka sehemu mbalimbali ili kupata kuwa na nafasi tofauti tofauti za kuchaguliwa.
Related posts
7 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you will find 56989 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/modelling-agency-tanzania-ni-moja-ya-sababu-ya-ma-model-kushindwa-kufika-mbali/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/modelling-agency-tanzania-ni-moja-ya-sababu-ya-ma-model-kushindwa-kufika-mbali/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 49948 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/modelling-agency-tanzania-ni-moja-ya-sababu-ya-ma-model-kushindwa-kufika-mbali/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/modelling-agency-tanzania-ni-moja-ya-sababu-ya-ma-model-kushindwa-kufika-mbali/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 60705 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/modelling-agency-tanzania-ni-moja-ya-sababu-ya-ma-model-kushindwa-kufika-mbali/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/modelling-agency-tanzania-ni-moja-ya-sababu-ya-ma-model-kushindwa-kufika-mbali/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 17343 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/modelling-agency-tanzania-ni-moja-ya-sababu-ya-ma-model-kushindwa-kufika-mbali/ […]