Fashion haina mipaka kila mtu anaweza kuwa fashionable kutokana na vile anavyo penda yeye ali mradi tu anapendeza maana kuna wale fashionable wa kuto kupendeza, Ukitaka kujua hilo unaweza kuona wabunifu ambao walikua hawabuni mavazi ya Ki-Islam sasa wanabuni, kuna fashion bloggers, fashionista’s na wana ruhusu models kuvaa hijab kwenye run way zao.
Leo tunakuletea hijabista na makeup artist kutoka hapa hapa Tanzania anaitwa Munira Sahal lakini anajulikana zaidi kama Muni @_itsmuni, Munira ni Hijabista ambae ana pendeza mno her style is simple & classy, ana vaa kila kitu na kukifanya kiwe yeye na sio mwingine. Tulianza ku fall in love na style’s zake but then tukaja kupenda kazi zake pia.
Its he way anavaa neutral color na zikakuvutia
Black & cream
Stripes are bae,
Who doesn’t like lace up shoes & pull necks?
Abaya + Kicks
Floral two pieces
Okay this is our favorite
Her makeup skills are perfect
Kutana na 5 hijabista wa tano kutoka Tanzania ambao unaweza kuwa follow Hapa
Related posts
6 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/modest-fashionista-na-makeup-artist-munira-sahal/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/modest-fashionista-na-makeup-artist-munira-sahal/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 15847 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/modest-fashionista-na-makeup-artist-munira-sahal/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 76988 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/modest-fashionista-na-makeup-artist-munira-sahal/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/modest-fashionista-na-makeup-artist-munira-sahal/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/modest-fashionista-na-makeup-artist-munira-sahal/ […]