Japo matajiri wengi huwa wana-practise quite luxury yaani kuwa na vitu vya bei lakini visivyokuwa na logo kubwa, unaweza kukuta amevaa plain shirt lakini ni brand kubwa na inauzwa ghali lakini usinotice kwakuwa tu haina zile kelele za kusema hii ni brand fulani, lakini kuna wakati huwa wanaamua kuonyesha kwamba wanavaa hivi vitu.
Hivi karibuni tume m-spot mfanyabiashara mkubwa Nchini, Mohamed Dewji akiwa amevalia hizi Louis Vuitton Monte Carlo Moccassin, viatu hivi vinauzwa kuanzia USD 7,00/- sawa na Tsh 1,753,500.70 na tumeona anavyo vitatu vyenye rangi ya blue, brown na red vyote kwa pamoja ni Tsh 5,260,502.10/-

Ukienda kwenye blog ya Louis Vuitton details za hivi viatu vinatengenezwa na calf leather with trim in Monogram Record canvas, coordinating with the leather goods collection. A testament to Louis Vuitton’s know-how, this car shoe features a hand-stitched vamp, which is signed with an LV Initials accessory. Its tubular construction and outsole with large rubber pads provide lightness and flexibility.
- Bordeaux Red
- Calf leather and Monogram Record canvas
- Hand-stitched vamp (1 hour per pair)
- Tubular construction
- Outsole with large rubber pads
- LV Initials accessory
- Made in Italy
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…