SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MOSCHINO ANA TUPA CHILL PILLS KATIKA HII COLLECTION MPYA
Mitindo

MOSCHINO ANA TUPA CHILL PILLS KATIKA HII COLLECTION MPYA 

Mbunifu kutoka marekani Moschino amekua akibuni vitu mbali mbali vinavyo endana na wakati huo kama phone cases zenye muundo wa chips za kfc nakadhalika, ila hii aliyo kuja nayo sasa hivi ndio ime tuvutia zaidi, katengeneza nguo na ma bag yenye dawa ‘ni kama vidonge vya kifua’ tuna dhani kawa influenced na ule msemo wa “chill pills” its all about ubunifu

14359481_1790966261179673_7296707934740807680_n

14369155_676286292520950_8441283703711203328_n

back pack ya maschino yenye vidonge

14448160_1166218730119182_56481212239183872_n

Shift dress na bag kutoka kwa moschino14482095_1186022201439635_7157540604824518656_n 14487385_267686963624940_3061327967033491456_n

Je ume penda ubunifu huu? tupe maoni yako kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Related posts