Beyonce na Ivy Blue ni “goals”, Akiwa Blue bado ana umri wa miaka minne wame onekana kuwa marafiki zaidi hata ya wamama wengi wanao kuza wasichana wakubwa. Kuthibitisha hilo tumeona mara nyingi Beyonce akiwa ame vaa matching outfits na Blue pia kucheza nae michezo ya kitoto. Ukiachana na Kuwa na Ratiba ngumu hasa kwa sasa akiwa katika ‘Formation Tour” Beyonce ame tenga wakati kwa ajili yake na Familia yake.
Hizi ni mara tatu tumependa Beyonce alivo vaa sare na mwanae
Denim Duo Beyonce na Blue wali match kuvaa makoti ya jeans ambayo yalikua yame daliziwa fulani na vipepeo
Swim wear Duo hii ilikua beach outfit ambapo walivaa printed swim suits
Gucci Duo hii ni hivi karibuni katika Formation Tour ambapo wote wawili Beyonce na Blue Ivy walivaa Floral Dresses kutoka katika kampuni ya Gucci, una weza kuvaa sare sare na mwanao mka share furaha.
Related posts
2 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mother-and-daughter-goals-beyonce-na-ivy-blue/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mother-and-daughter-goals-beyonce-na-ivy-blue/ […]