SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MOTHER & DAUGHTER DUO HAMISA NA MAMA MOBETTO
Mitindo

MOTHER & DAUGHTER DUO HAMISA NA MAMA MOBETTO 

Hamisa na Mama yake ni Duo amabyo hatuwezi ku ignore maana wapo kama mtu na dada yake, mama hamisa hayupo nyuma katika mitindo anajua avae nini na avae wapi. na katika mwezi huu wame onekana kupendeza zidi na mitoko yao kila mtu akiendana na mitoko hio kutokana na umri wake japo kuna saa wana vaa wakifanana  kama hapa ambapo wote wame vaa ma dish dash

13397457_1554231694873250_1457104974_n 13414404_105516249874368_1614754812_n

Hamisa akiwa katika picha ya juu na mama yake picha ya chini

13402516_248825252155100_529128890_n

hapa Hamisa amvaa bandage dress ndefu na kiremba akiwa kakivalia turban hii ni casual look

13381081_1708255756095804_9480585_n

wakati mama mobetto yeye ame valia dish dash lake la kima mama kwa ajili ya mtoko13398472_1745203639055996_1702281604_n

hapa mama Hamisa ame vaa skirt na blouse yake 13423582_601395013353010_1168171985_n

Hamisa yeye ame rock colorful dera na mtandio ambao ame accessorize na head chain

Related posts

5 Comments

  1. Visit This Link

    … [Trackback]

    […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mother-daughter-duo-hamisa-na-mama-mobetto/ […]

  2. blog link

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mother-daughter-duo-hamisa-na-mama-mobetto/ […]

  3. BINANCE USA

    … [Trackback]

    […] Here you will find 8305 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mother-daughter-duo-hamisa-na-mama-mobetto/ […]

  4. Bubble Tea

    … [Trackback]

    […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mother-daughter-duo-hamisa-na-mama-mobetto/ […]

  5. check that

    … [Trackback]

    […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mother-daughter-duo-hamisa-na-mama-mobetto/ […]

Leave a Reply