Kuanzia January hadi March huwa ni msimu maridhawa kwetu maana tuzo mbalimbali hutolewa nchini Marekani. Tuzi hizi ni kama Golden Globes, SAG,People’s Choice, Oscars na the Grammys. Kwetu sisi fashionistas na wenginewengi ni muda muafaka wa kustaajabu styles mpya, rangi maridhawa namishono ya kipekee ili tuweze kulipuka katika sherehe zetu hapa.
Well kilitochustaajabisha na kutuvutia ni jinsi mastaa maarufu walomalizakujifungua very soon na kuweza kuslay katika red carpet while loosing that babyweight so fast. Na anayeongoza katika list hii sii mwingine bali ni star Blake Lively aliyetamba karika series ya Gossip Girl ambapo ndani ya miezi minne aliweza kupunguza mwili just in time for the awards season ambapo alislay ndani ya gauni jeusi la velvet lililobuniwa na mbunifu maarufu Atelier Versace.
Pia mastaawengine waloweza kuwa na that sexypost baby look ni Kerry Washington aloweza kurudisha mwili wake ndani ya wiki nane ambapo alipendeza ndani ya gauni la rangi ya gold kutoka kwa wabunifu Dolce &Gabana.
Pia mastaa wengine walopendeza ni Teresa Palmer na wengineo.
Hii iwe inspiration kwa all Tanzanian moms out there juu ya umuhimu wa mazoezi maana imezoeleka wamama wangi hapa hujiachia na kuwa na lishe za ajabu hivyo kushindwa kuurudisha miili yao ilokuwepo zamani bali kugeuka vibonge wenye shepu za kustaajabisha. Tujenge utaratibu wa kuwa na milo sahihi plus ufanyaji wa mazoezi so as to maintain the sexy figures.
Story credit- Willibard una weza kumfollow instagram @willibard_jr
Instagram – afroswagga
Facebook – afroswaggamag
Twitter – afroswaggatz
Related posts
7 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mothers-in-lovely-fashion-katika-msimu-huu-wa-tuzo-hollywood/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mothers-in-lovely-fashion-katika-msimu-huu-wa-tuzo-hollywood/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mothers-in-lovely-fashion-katika-msimu-huu-wa-tuzo-hollywood/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mothers-in-lovely-fashion-katika-msimu-huu-wa-tuzo-hollywood/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mothers-in-lovely-fashion-katika-msimu-huu-wa-tuzo-hollywood/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mothers-in-lovely-fashion-katika-msimu-huu-wa-tuzo-hollywood/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 15723 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mothers-in-lovely-fashion-katika-msimu-huu-wa-tuzo-hollywood/ […]