SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Move Over Biker Shorts Its Time For Sheer Skirt’s And Blazers
Mitindo

Move Over Biker Shorts Its Time For Sheer Skirt’s And Blazers 

Kwa muda mrefu sasa blazers zimekuwa kwenye trend vitu vichache vinabadilika lakini zenyewe zinaendelea kuwa palepale, well tuliona trend ya blazer na biker shorts, tukaja kuona trend ya belted blazer na sasa tupo kwenye blaze na sheer skirts. Trend hii tuomeiona kwa baadhi ya fashionistas lakini pia watu maarufu mbalimbali kama Lupita Nyong’o, tumeona leo tuwaletee hapa mjue nini kinaendelea Duniani na kama utaipenda unaweza kujaribu lets say ni trend ambayo haiitaji nguvu sana.

This trend is more of chic trend unaweza kuvaa kwenye event kama dinner date na red carpet look, ni moja ya trend ambayo ina elevate your look from basic to fashionable, tumemuona fashion blogger Makuto Styles akiwa kwenye trend hii.

Debbie Beeko fashion blogger kutoka Ghana yeye tumemuona kwenye hii trend ambapo alivaa all white outfit, white tuxedo shirts, polkadot white shirt na white sandals, sexy and clean.

Sazi Hills yeye aliamuwa kuwa extra kidogo kwa kuvaa hii plaid blazer, na white ruffle sheer skirt akamaliza muonekano wake na belt nyeusi, handbag nyeusi, miwani na red pump shoes alizomatch na lipstick, way to go baby gal.

Muigizaji kutoka Kenya Lupita Nyong’o tulimuona kwenye silver carpet ya saga awards akiwa amevalia trend hii in cold shoulder blazer, akiwa amevalia na embellished sheer skirt nyeusi amemalizia muonekano wake na box braids.

Well Afromates is this trend a yay or nay?

Related posts

2 Comments

  1. window installer

    … [Trackback]

    […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/move-over-biker-shorts-its-time-for-sheer-skirts-and-blazers/ […]

  2. find more

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/move-over-biker-shorts-its-time-for-sheer-skirts-and-blazers/ […]

Comments are closed.