Kitu kimoja kuhusu kitenge ni huwa hakipitwi na wakati kama ambavyo zilivyo fabric nyingine kama polka dot, stripes kitenge kipo toka enzi na enzi na kinashonwa kutokana na era iliyopo.
Leo tunawaangalia watu maarufu mbalimbali ambao wao wametuonyesha namna ya kuvaa kitenge kwa mshono huu ambao unaonekana ku-trend kwa sasa, ni gauni fupi ambayo imeongezewa Puffy Sleeves ilikufanya iwe tofauti na ku-make statement.
Tumewaona watu Kama Yemi Alade, Toke Makinwa Na Dorice katika katika mshono huu
Kama una kitenge chako na hukuwa unajua ushoneje, now you know.
Related posts
6 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mshono-wa-kitenge-unao-trend/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mshono-wa-kitenge-unao-trend/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 53208 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mshono-wa-kitenge-unao-trend/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mshono-wa-kitenge-unao-trend/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 50476 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mshono-wa-kitenge-unao-trend/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mshono-wa-kitenge-unao-trend/ […]