Ukiwa mwezi wa fashion una endelea na wiki hii ipo Paris, Mtanzania Herieth Paul ameonekana katika Jukwaa moja na wanamitindo wakubwa kama Kendall Jenner na Gigi Hadid katika show ya Balmain Spring 2016 huko Paris. Herieth ni msichana wa miaka 20 tu na kashaanza kufanya makubwa katika ulimwengu huu wa mitindo. Feeling proud
3648
Herrieth Paul wa kwanza mwenye gauni ya orange

4926

Balmain RTW Spring 2016

Balmain RTW Spring 2016

rs_1023x682-151001090549-Balmain-Fashion-paris

unnamed
Herrieth Paul