SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MTOKO WA LEO NA LINAH SANGA
Mitindo

MTOKO WA LEO NA LINAH SANGA 

Tumewaona watu wengi maarufu kama Vanessa Mdee, Idris Sultan katika Viremba aina ya Turban lakini tunaona staili hii inaendelea ku kiki baada ya mwanamuziki Linah Sanga nae kuonekana akiwa amefunga kiremba aina hiyo. Kusema ukweli Turban haimkatai mtu, Linah amefunga kiremba iko huku akiwa amepaka make up yake nzuri kaava stift dress na viatu vya gradiator amependeza.

917352_180590502319864_2077008043_n 12677516_1748558528710289_677005466_n 12822488_175150599532567_930499335_n

Related posts

Leave a Reply