SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MTOTO WA MBUNIFU AMBAE NAE NI MBUNIFU
Mitindo

MTOTO WA MBUNIFU AMBAE NAE NI MBUNIFU 

Linda bezuidenhout ni mwanamama kutoka Tanzania mwenye makazi yake yako nje ya Nchi, Linda ni mbunifu ambae amepata Tuzo kadha wa kadha nchini na pia huko anapo ishi sasa hivi. Linda amekua akiitangaza Tanzania kwa upande wa ubunifu pia ana kampuni yake ya ubunifu  iitwayo  Lb Apparel  lakini pia ana mtoto aitwae Maryam ambae ana fuata nyayo za mama yake.

maryam

Hivi karibuni Maryam ameonyesha kipaji chake katika kubuni nguo/mavazi kwa midoll, maryam hutumia vitambaa ambavyo mama yake (Linda) ametumia katika kazi zake na kubakisha, ukiangalia kazi ya Maryam utaona ni kiasi gani mtoto huyu ana kipaji na kwamba atakuja kusumbua baadae katika ulimwengu wa ubunifu. kwa umri alio kuwa nao na pia nyenzo azitumiazo huwezi kuamini kama ni kweli amefanya huu ubunifu mwenyewe.

maryam.1jpg maryam.2jpg maryam.3jpg maryam.6jpg maryam.7jpg maryam4

Related posts

2 Comments

  1. like this

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mtoto-wa-mbunifu-ambae-nae-ni-mbunifu/ […]

  2. 티비위키

    … [Trackback]

    […] There you can find 92684 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mtoto-wa-mbunifu-ambae-nae-ni-mbunifu/ […]

Leave a Reply