SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Muigizaji Kutoka Ghana Zynnell Lydia Zuh  Katika Red Carpet Ya Cannes Film Festival
Habari

Muigizaji Kutoka Ghana Zynnell Lydia Zuh Katika Red Carpet Ya Cannes Film Festival 

Zynnell Lydia Zuh ni moja kati ya waigizaji slayers kutoka Ghana tulisha wahi kusema huyu dada huwa hapanii kwenye red carpet huwa ana komoa, ukiwa nae katika red carpet moja inabidi ujibebe hasa katika mavazi maana anaweza kukuaibisha,

lakini cha kutustaajabisha ni hili vazi alilo livaa katika red carpet ya Cannes Film Festival. Ni mmoja kati ya waigizaji wachache kutoka Africa ambao wamepata nafasi ya kukanyaga red carpet hii ambapo sisi kwa jinsi ambavyo tunamjua “mama sina dogo” au “sipigiwi nacheza” tulijua atakuja na kitu hatari lakini ikawa nyuma ya mategemeo yetu.

hatusemi hakupendeza Lah! Hasha lakini sisi tulitegemea awe mkombozi wetu kwa kuonekana katoka Africa lakini ame-slay sana, Zynnell aliamua kuvaa african print dress ambayo nguva yake ni kama ile ambayo Mac Couture alimvalisha Wema na akatuambia amechukua miaka miwili kuibuni

Hatujui kama waliiona ya Wema wakaamua ku-copy ila kujaribu marinda madogo huku kwenye nguva but again it failed big time, chochote ambacho wabunifu hawa wawili walikuwa wana jaribu kufanya kumleta huyu nguva mwamvuli katika uhalisia kimegoma. Japo tunahitaji creative people lakini pia hio creativeness inabidi iangaliwe je iko sawa?

 

hatujui kama kuna wekwa godoro au vipi ila hivi ndivyo hili gauni linaonekana kwa nyuma haipo neat, kiukweli tunaweza kusema Zynnell ame tu-disappoint tulitegemea kubwa kutoka kwake na si hili.

Well tupe maoni yako kupitia account zetu katika mitando ya kijamii.

 

Related posts

6 Comments

  1. look these up

    … [Trackback]

    […] Here you will find 68892 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/muigizaji-kutoka-ghana-zynnell-lydia-zuh-katika-red-carpet-ya-cannes-film-festival/ […]

  2. Where to buy magic mushroom online Brisbane

    … [Trackback]

    […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/muigizaji-kutoka-ghana-zynnell-lydia-zuh-katika-red-carpet-ya-cannes-film-festival/ […]

  3. buy sig sauer gun

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/muigizaji-kutoka-ghana-zynnell-lydia-zuh-katika-red-carpet-ya-cannes-film-festival/ […]

  4. old pillsbury bake-off recipes,

    … [Trackback]

    […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/muigizaji-kutoka-ghana-zynnell-lydia-zuh-katika-red-carpet-ya-cannes-film-festival/ […]

  5. 토렌트

    … [Trackback]

    […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/muigizaji-kutoka-ghana-zynnell-lydia-zuh-katika-red-carpet-ya-cannes-film-festival/ […]

  6. hop over to this website

    … [Trackback]

    […] Here you will find 60298 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/muigizaji-kutoka-ghana-zynnell-lydia-zuh-katika-red-carpet-ya-cannes-film-festival/ […]

Comments are closed.