SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Muigizaji Kutoka Nigeria Nana Akua Addo Na Style Zake
Mitindo

Muigizaji Kutoka Nigeria Nana Akua Addo Na Style Zake 

Muigizaji Nana Akua Addo ni moja kati ya watu maarufu tunao jivunia kutoka Africa, tunaweza kusema Nana ni moja kati ya watu maarufu ambao wapo fashion foward katika bara hili la Africa, styles zake sikuzote ni tofauti na wengine ana jaribu sana ku-cope na style za Nje, mara kwa mara huwa anaongezea kitu cha tofauti katika mitoko yake

Tuanze na mitoko yake ya red carpet

Mwaka jana muigizaji huyu alihudhuria katika hafla ya African Magic Viewers Choice Awards, akiwa amevalia ball gown yenye rangi ya nude, she looked like a princess, kutokana na kuwa mdogo juu this dress looked perfect on her, alimaliza muonekano wake na pony tail hair style na statement earrings & no make up makeup look. sometimes all you need is “THE DRESS”

 

Nana alihudhuria hafla ya African Entertainment Legends Awards mwaka 2016 looking radiant akiwa amevalia gauni la njano, well yellow was created for dark skin. Amemalizia muonekano wake na less makeup look na a gold waist belt. Snatched.

Kama ni mpenzi wa mitindo utakumbuka mwaka 2016 – 2017 fashion zilizo trend kubwa katika red carpet ni sheer na metalic dresses, well Nana hakuwa nyuma katika kwenda na hizi trend tunaweza kusema ni moja kati ya watu maarufu wachache walio jaribu hizi trend well she blessed us with these two looks wakati moja akiwa ameshinda Tuzo ya ost Stylish female celebrity Africa.

Watu maarufu wengi hupenda kupiga photo shoot katika vitu vyao mbalimbali au kuchukuliwa na wabunifu au makampuni kuwa Tangazia bidhaa zao, Nana ni mmoja wapo pia her photoshoots huwa za tofauti kidogo mara nyingi anapenda kuongezea kitu cha tofauti katika vazi lake

Nana aliamua kuvaa all black katika photoshoot yake hii aliyoipa jina “Black Panther” Tulichopenda katika hii photoshoot ni hii kofia aliyovaa, we see Beyonce hat hapa.

How extra is this outfit? gold helmet na ruffle dress

 

Mask On 

Sio tu red carpets na photoshoot’s Nana ana slay na street styles pia hizi ni chache kati ya nyingi tulizo zipenda

Related posts

6 Comments

  1. B+ Magic Mushrooms for sale USA

    … [Trackback]

    […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/muigizaji-kutoka-nigeria-nana-akua-addo-na-style-zake/ […]

  2. Golden Teacher Mushrooms shop online USA

    … [Trackback]

    […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/muigizaji-kutoka-nigeria-nana-akua-addo-na-style-zake/ […]

  3. check this link right here now

    … [Trackback]

    […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/muigizaji-kutoka-nigeria-nana-akua-addo-na-style-zake/ […]

  4. buy ayahuasca tea online business,

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/muigizaji-kutoka-nigeria-nana-akua-addo-na-style-zake/ […]

  5. 웹툰 무빙 무료보기

    … [Trackback]

    […] Here you can find 43371 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/muigizaji-kutoka-nigeria-nana-akua-addo-na-style-zake/ […]

  6. bonanza178

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/muigizaji-kutoka-nigeria-nana-akua-addo-na-style-zake/ […]

Comments are closed.