SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Multicolor Suit Trend For Men
Mitindo

Multicolor Suit Trend For Men 

Kwasasa kinacho trend katika upande wa mavazi kwakina kaka ni suit zenye rangi zaidi ya moja, sio zile ambazo tumezoea kuona suit nyeusi, pink, blue etc. Hizi zinakuwa ombre, suit inakuwa na rangi zaidi ya moja.

Tumeipenda hii trend hasa pale inapovaliwa proper na rangi ya suit ikaendana, wanaume huwa wana trend chache sana hasa kwa upande wa suit, huwa wanavaa hizohizo kwenye red carpet, harusi, maofisini inakuwa tumeshazoea kuwaona hivyo inakua haileti utofauti.

Tunatumaini tutawaona kaka zetu hapa Nchini kwenye hii trend but mostly ni kuona wameitendea haki trend hii, as they say normal is boring.

Related posts