SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Muna Love Birthday Photoshoot Outfit Review
Mitindo

Muna Love Birthday Photoshoot Outfit Review 

Happy New Year kwenu cousin’s, Afromates na ndugu wasomaji (lol) imekuwa muda since tukutane hapa ni matumaini yetu mwaka huu tutakutana hapa mara nyingi zaidi anyways enough with maelezo turudi kwenye swala kuu ambalo ni reviewing Muna Love Birthday Photoshoot.

Muda ni moja kati ya wale God’s favorite imagine unazaliwa mwaka mpya, yaani Dunia nzima inakusheherekea, feels good right? Well mwaka huu Muna ame serve 3 lewks katika birthday photoshoot yake na tupo hapa kuzi review,

Look ya kwanza ilikuwa sequin mini red dress yenye embelleshed sleeve na fur nyeusi, we love the dress hii fur kidogo inatupa mixed feelings inafeel like imelazimishwa haikuwa na ulazima lakini amependeza makeup ipo on point, shoe game strong.

Look ya pili ni corset dress, hizi looks mbili zinatoka kwa mbunifu allie_clothings, gauni ni nzuri sana ila one thing tumeona ingependeza zaidi kama ingekuwa fupi Muna aonyeshe some skin tayari yeye ni mfupi na akifunikwa sana anazidi kudidimia au angevaa open sandals instead ya hivi viatu vilivyo funikwa. Makeup & hair on point.

Look ya tatu ni kutoka kwa mbunifu jm_international_collection, ni suit ya rangi ya orange tumependa how extra the sleeves are zime make statement, this is our favorite look kutoka kwenye photoshoot yake, nywele na makeup zipo vizuri makeup artist wake ameonekana kumtendea haki

Tuambie look ipi imekuvutia zaidi?

Dresses by @allie_clothings

Makeup by @zuhuraty_beautymakeup

Suite by @jm_international_collection

Hair by @yohajonailbar

Photo by @six_rango_weddings

Related posts

4 Comments

  1. Order DMT online Melbourne

    … [Trackback]

    […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/muna-love-birthday-photoshoot-outfit-review/ […]

  2. 영화 다시보기

    … [Trackback]

    […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/muna-love-birthday-photoshoot-outfit-review/ […]

  3. coldfire carts https://exotichousedispensary.com/product/coldfire-carts/

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/muna-love-birthday-photoshoot-outfit-review/ […]

  4. buy magic mushrooms near me

    … [Trackback]

    […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/muna-love-birthday-photoshoot-outfit-review/ […]

Comments are closed.