Rose Alphonce a.k.a Muna love ni true definition ya new year new me ameingia mwaka mpya akiwa na new age na new body. Muna ambae miezi ya mwishoni ya mwaka 2021 alitangaza kuwa atafanya surgery 11 katika mwili wake, mpaka sasa tumejua surgery 3 tu ambazo ni dimples, lips na body.
Kurekebisha mwili imekuwa kawaida kwa watu maaarufu wengi nje na ndani ya Nchi wengine wakiwa wanapunguza na wengine kuongeza ili mradi kupata kile roho inapenda. Muna sio wa kwanza yeye ameamua tu kuwa muwazi kuhusu maamuzi yake haya, Muna ameonekana kuwa mpya na kupenda mwili wake kwa maana toka amerudi amekuwa aki-serve looks na kutuonyesha muonekano wake huo mpya, hizi ndizo looks 3 za hivi karibuni kutoka kwake.
Whoever her surgeon is he/she did that, that body is bodying, let us know thoughts zako kwa muonekano huu mpya wa Muna Love
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you can find 15108 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/muna-love-serving-looks-after-surgery/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/muna-love-serving-looks-after-surgery/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/muna-love-serving-looks-after-surgery/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/muna-love-serving-looks-after-surgery/ […]