Nasseb Abdul A.K.A diamond platnumz ni nominee katika kipengele BEST INTERNATIONA ACT AFRICA kwenye tuzo za BET ambapo hiki ni kituo cha Television kikubwa kinacho husiana na sanaa za watu weusi.
Hii si mara ya kwanza kwani mwaka jana pia Diamond alituwakilisha katika Tuzo hizo pia. Huu ni muonekano wake wa kwanza mwaka huu katika Tuzo hizo
Diamond ame vaa along grey vest akiwa ame match na kofia yake, amevaa jeans mcharuko nyeusi na raba nyeupe
kama kawaida yake huwa aachi kuaccessorize ame vaa saa, mikufu na bracelets
tupe maoni yako hapo chini kuhusu muonekano huu wa Diamond kama ume upenda au lah.
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you will find 79869 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/muonekano-wa-diamond-platnumz-bet-2016/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/muonekano-wa-diamond-platnumz-bet-2016/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/muonekano-wa-diamond-platnumz-bet-2016/ […]