Kim Kardashian West ana kuja na beauty line yake seems like watu maarufu wameonekana kuamua kuingia huku tukiwa tuna subiria beauty line ya Rihanna, Kim K nae katangaza ya kwake. Kim ameamua kuingia alipo kuwa mdogo wake Kylie Jenner so now mashabiki watakuwa divided  (mmh)

Kim amesema beuaty line yake itakuwa na  cream based count our kit, Highlighter kit na dual ended blush kwa blending, makeup artist better be ready

na hio ndio teaser ya package yake ambayo amesema atazindua June 21, tuna subiri.