Nguli wa mitindo Tanzania, Mbunifu Mustafa Hassanali ame debut collection yake mpya ya mavazi ambayo ameipa jina la Endometriosis ambapo collction hii dhumuni lake kubwa ni kusambaza ufahamu juu ya uwepo wa ugonjwa wa endometriosis pamoja na kutoa mchango kwa wanawake ambao wametambulika kuwa na ugonjwa huo huku wakiishi na mapambano ya kufanya matibabu tofauti tofauti iwe, upasuaji, vidonge, na dawa za vimiminika katika kutibu maumivu sugu wanayoishi nayo.
Lakini pia ilikua ina support foundation ya mwanadada Millen ( Happiness) Magese ambayo ina deal na ugonjwa huu ambao pia kwa namna moja au nyingine ina mgusa Millen mwenyewe ambae amekua akitaabika na ugonjwa huu kwa muda mrefu, lets say hands down to Mustafa as ni idea nzuri sana hasa kwa kina mama wenye kujua maumivu ya ugonjwa huu.
But then lets talk kuhusu hii collection Je yaliyomo yamo?
Kwa sababu ni collection ambayo ilikuwa ya kum-support Millen sisi kichwani kwetu tulijijengea taswira ya Mustafa kuwa inspired na mwanadada huyu, ukimuongelea Millen kitu kinacho tujia ni Elegancy, Fashionable & A Bit Of Extra Touch’s kama ambavyo tunamjua Millen anapenda kuonekana wa tofauti, lakini pia anapenda vitu ambavyo vipo elegant.
Kwenye elegance Mustafa ametisha hii mishono ipo simple na pia ina elegancy ndani yake, haionyeshi mwili sana perfect for Millen’s Image. Lakini tukija kwenye extra touch’s na utofauti hapana hamna hii collection inaweza kubuniwa na mbunifu yoyote anybody can do high low dress hatujui nini kilimsibu Mustafa as tunajua ni mbunifu mzuri sana.
The collection is too simple, unaweza kupata haya mavazi hata kwa fundi Juma labda tu kitambaa ndio kitakushinda kutafuta ila hii mishono ipo sana huko mitaani as mbunifu tunategemea utuletee kitu cha tofauti ambacho kitashtua watu ila hii hapana haija shtua kabisa.
Arise Fashion Week inatoa wabunifu 45 katika Nchi za Africa na Tanzania alichaguliwa Mustafa tu sisi tulijua he will bring it, ata jaribu kufanya kitu cha tofauti hata huko washtuke lakini imekuwa tofauti na mategemeo yetu, labda walichelewa kumwambia amebuni haraka haraka lakini ikumbukwe ” Mustafa amepeleka hii collection Nigeria, Nchi ambayo tunajua wabunifu wake they don’t play” hata ukiangalia collection za katika hii fashion week wabunifu wame dare sana.
We real wish angeput some effort katika hii collection ukiachana tu na kuipa image nzuri Tanzania lakini pia kuendana na lengo lake we don’t think wanawake wanao ugua huu ugonjwa wako plain hivi tunachojua they’re strong and killing it ndio maana even in pain wana survive.
Hayo ni maoni yetu kwa leo do let us know unafikiria nini kuhusu collection hii
Related posts
8 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mustafa-hassanali-endometriosis-collection-aliyo-izindua-nchini-nigeria-katika-arise-fashion-week/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mustafa-hassanali-endometriosis-collection-aliyo-izindua-nchini-nigeria-katika-arise-fashion-week/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mustafa-hassanali-endometriosis-collection-aliyo-izindua-nchini-nigeria-katika-arise-fashion-week/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mustafa-hassanali-endometriosis-collection-aliyo-izindua-nchini-nigeria-katika-arise-fashion-week/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mustafa-hassanali-endometriosis-collection-aliyo-izindua-nchini-nigeria-katika-arise-fashion-week/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mustafa-hassanali-endometriosis-collection-aliyo-izindua-nchini-nigeria-katika-arise-fashion-week/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mustafa-hassanali-endometriosis-collection-aliyo-izindua-nchini-nigeria-katika-arise-fashion-week/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 10374 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mustafa-hassanali-endometriosis-collection-aliyo-izindua-nchini-nigeria-katika-arise-fashion-week/ […]