Umeshawahi kusikia au kuambiwa kwamba “sometimes you got to follow your dreams” yes ni kweli wakati mwingine unacho hitaji kufanya ni kufuata ndoto zako, Mustafa Hassanali si jina geni kwa wengi wetu, kama wewe ni mpenzi wa mitindo basi hili jina utakuwa umelisikia sana Mustafa yupo katika Industry hii kwa miaka mingi lakini ameanza kujulikana mwaka 1999 ambapo Miss Tanzania Hoyce Temu alivaa gauni kutoka kwa mbunifu huyu katika mashindano ya Miss Tanzania. Gauni hili ndilo lililomuweka Mustafa katika ramani ya mitindo.
Lakini kabla ya Hoyce Temu kuvaa gauni lake Mustafa alikuwa nani by professional? ukisoma biography yake Mustafa Hassanali amesomea udaktari “suprised”? Oh yes Mbunifu Mustafa Hassaali amesomea udaktari na labda kama asingekuwa mbunifu na kufuata ndoto zake leo tusingemjua au tungemjua kwa professional nyingine ya udaktari lakini ndoto zake hasa zilikuwa ubunifu that is what he is good at, na ndio maana leo tunamjua Mustafa kama mbunifu bora anaye peperusha bendera ya Tanzania vizuri kabisa.
Ukiachana na kushinda awards mbalimbali ndani na nje ya Nchi, mwaka 2008 Mustafa ali launch Swahili Fashion Week ni platform ambayo ina recognize watu wote waliokuwepo katika Tasnia ya Mitindo hii inafanya kumuacha kama designer bali kama icon ambae ameweza kuwaasadia na wengine waliopo katika ulimwengu wa mitindo.
Mustafa ameweza kushow case kazi zake katika miji 31 katika Nchi 21 Duniani kama ambassador wa mitindo kutoka Nchini Tanzania,Ameweza kumvalisha mwanamitindo mkubwa Duniani Naomi Campbell kazi zake na ni mbunifu pekee kutoka Tanzania ambae amewahi kualikwa na Tanzania embassies in Sweden and Russia to celebrate the 50th anniversary of Tanzania Mainland and of The Union of Tanganyika and Zanzibar in 2011 and 2014 respectively.
Mustafa kutokana na kujua kwake kuhusu afya Mustafa ni mbunifu ambae anachangia katika afya pia kwa ku-support vitu mbalimbali katika sector ya afya kama breast cancer awereness na Violence Against Women, Lakini pia ni mbunifu kutoka Africa ambae amewahi kuwa featured na gazeti la Forbes Africa magazine.
Labda asingeweza kufanya vyote hivi kama angekuwa katika sekta ya Afya, labda leo tusingemjua Mustafa na kipaji chake kama angeendelea kuwa daktari, amabacho tunasema hapa fanya kile ambacho moyo wako kinapenda kufanya huko ndipo ambapo your best at.
Related posts
2 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se… https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mustafa-hassanali-kutoka-kuwa-daktari-mpaka-ubunifu/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mustafa-hassanali-kutoka-kuwa-daktari-mpaka-ubunifu/ […]