SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MUSTAFA HASSANALI KUTOKA UDAKTARI HADI UBUNIFU
Mitindo

MUSTAFA HASSANALI KUTOKA UDAKTARI HADI UBUNIFU 

Mustafa Hassanali ndo jina lake kamili amezaliwa mwaka 1980 (35), ame somea udaktari lakini mitindo ndio ime kua fani yake toka mwaka 1999. Mustafa akiwa na miaka 19 aliweza kumvalisha Miss Tanzania wa mwaka 1999 Hoyce Temu vazi la jioni (evening dress) kuanzia hapo ndipo jina lake lilipo anza kukua katika ulimwengu huu wa mitindo. Mustafa ameweza kushikiria nafasi yake ya uana mitindo kwa kubuni kitu kipya kila kunapo kucha hakika Tanzania tunajivunia kuwa na mbunifu huyu.

miss1999

Mustafa ametuwakilisha vyema katika nchi mbali mbali kama Kenya,Uganda,na pia kama haitoshi Mustafa alitajwa kama mbunifu mkubwa wa kiume kutoka Afrika na  UK’s NEW AFRICAN WOMEN pia  Kenya Airways MSAFIRI magazine walimuita  COUNT OF COUTURE na ni mbunifu pekee kutoka Afrika mashariki kushirikishwa na Forbes Africa.

Mustafa ameshiriki  katika  majukwaa mbali mbali kama

Dakar Fashion Week Senegal 2012

collez01 collez03 collez06

Mercedes-Benz Fashion Week Africa 2013

Mustafa Hassanali Mustafa Hassanali

Muungano Collection Moscow Russia 2014

difactory.ru-3 difactory.ru-46

SOUTH AFRICA MENS WEAR WEEK 2015

Mustafa Hassanali Mustafa Hassanali

Na hivi karibuni aliungana na wabunifu wengine kutoka tanzania kwa ajili ya fashion for peace 2015

20 19

kujua zaidi mfollow katika instagram yake @mustafahasanali au tembelea www.http://mustafahassanali.net

Related posts

1 Comment

  1. best way to make passive income

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mustafa-hassanali-kutoka-udaktari-hadi-ubunifu/ […]

Leave a Reply