SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mustafa Hassanali Make In Tanzania Collection Review
Mitindo

Mustafa Hassanali Make In Tanzania Collection Review 

Mbunifu mkongwe wa mavazi nchini Tanzania, Mustafa Hassanali alikuwa mmoja wa wabunifu walioonesha kazi zao Oktoba 13 katika jukwaa la mitindo lenye hadhi ya kipekee lifanyikalo Ethiopia kila mwaka lijulikanalo kama “HUB OF AFRICA FASHION WEEK 2017”

Collection hii ya Mustafa imeitwa “Tengeneza Tanzania” au “Make in Tanzania”. Yote hii ni nia ya dhati ya Mustafa kumuunga mkono Rais wetu John Pombe Magufuli katika kutimiza sera ya uchumi, viwanda na uwekezaji. Ni ndoto na matamanio ya Mustafa kuweza kuanzisha na kutangaza viwanda vya nguo vilivyopo nchini Tanzania na kuweza kuipanua kimasoko nchi yetu.

Well collection hii imeonekana kuwa ya kitofauti na ya kipekee ukilinganisha na collection zilizopita za Mustafa. Ameweza kutumia material ya pamba na African prints khanga na vitenge vipatikanavyo hapa hapa nchini. Pia uchanganyaji wa rangi na designs za nguo ni zakuvutia na zenye wepesi, zikiweza kuvaliwa majira ya summer (kiangazi) as casual outfits kwa wadada na wakaka vilevile.

Make in Tanzania Collection imeweza kucombine dress styles mbalimbali from crop tops, mini dresses, shorts na long casual dresses which also can serve as night outfits unapoattend a casual needing event.

Tunazidi kuwapongeza wabunifu wa Tanzania wenye kiu ya kuleta mabadiliko katika tasnia hii ya mitindo kwa kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania katika maonesho ya mavazi katika nchi za nje barani Africa na hata ulaya. Ni hatua mojawapo katika kutangaza mavazi ya kiAfrica na pia kukuza uchumi wa taifa letu.

Ni mategemeo yetu kuona wabunifu wengi zaidi wakishiriki katika maonesho mengine mengi huku vazi la khanga na kitenge likiwa kidedea karika majukwaa haya makubwa,Je umependa nini katika hii collection? 

Imeandikwa na @willibard_jr 

Related posts

5 Comments

  1. 7up gummies

    … [Trackback]

    […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mustafa-hassanali-make-in-tanzania-collection-review/ […]

  2. pictures of molly drug,

    … [Trackback]

    […] There you will find 44380 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mustafa-hassanali-make-in-tanzania-collection-review/ […]

  3. you could look here

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mustafa-hassanali-make-in-tanzania-collection-review/ […]

  4. Web Hosting

    … [Trackback]

    […] Here you will find 53359 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mustafa-hassanali-make-in-tanzania-collection-review/ […]

  5. สล็อต ฝากถอน true wallet เว็บตรง 888pg

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mustafa-hassanali-make-in-tanzania-collection-review/ […]

Leave a Reply