SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mvumo Wa Radi By Ali Kiba
Mitindo

Mvumo Wa Radi By Ali Kiba 

Mwanamuziki Ali Kiba ametoa wimbo wake mpya uitwao mvumo wa radi, ni wimbo wa mapenzi unaohamasisha kupendana zaidi regardless unapotokea. Well leo tunafanya review ya wimbo huu upande wa video hasahasa katika mitindo (fashion) kuona je yaliyomo yamo na kipi cha tofauti tulicho kiona katika hii na zile za zamani?

Tuvyo vigundua kwanza kabla ya kwenda kwenye ku review hii video ni kwamba

 • Matumizi ya Models Weusi – wakati wengine wakitumia sana models weupe Ali Kiba yeye katika nyimbo zake nyingi anatumia sana wanamitindo weusi & we love him for that, giving chances kwa hawa wengine pia.
 • Suit na Miwani – Nyimbo zake tatu au nne nyuma ameshatumia sana style ya kuvaa suit na miwani (cheketua & Aje)  well tunatamani kuona akiwa katika kitu kingine cha ku-dare zaidi.
 • Matumizi Ya Kitenge Na Dashiki – Mara nyingi Ali Kiba amekuwa akitumia mavazi ya kiasili katika nyimbo zake ikiwepo hii ya sasa na zile zilizo pita kama Cheketua, kitu kingine ambacho tunakipenda kutoka kwake kwa kutangaza mavazi yetu.

Baada ya hayo lets dig in katika mvumo wa radi

Mtindo wa Nywele – Tulicho kiona cha tofauti katika wimbo huu ni nywele za Ali Kiba ambapo ame weka nywele nyekundu, Maana ya rangi Nyekundu tulisha wahi kuongelea ni Upendo lakini pia ni Hatari, wimbo unaitwa mvumo wa radi ambapo tunajua kabisa radi ni hatari ni kama moto lakini katika wimbo kunahusisha kupendana ambapo vyote kwa pamoja tunapata rangi nyekundu. Hii ni maana yetu sisi hatuna uhakika kama stylist wake nayeye alifikiria hivi, lakini pia ametuonyesha unaweza ku-rock crazy hair color na bado ukapendeza kwa kuvaa suit. This is definitely a thumb up kutoka kwetu.

Fitted Suit – Mara nyingi huwa tunasisitiza na watu kuvaa mavazi size yao, Ali Amevaa suit fulani hivi ya kibabe iliyo m-fit vizuri kabisa,kuonyesha body yake ( huyu alie kuvalisha suit hii ndio akuvalishe tena ukienda kwenye red carpet bado tunaikumbuka ile ya MTV Mama 2016). Ame accessories na miwani, na suspender kamalizia na kiatu nyeusi ambacho kilikuwa well polished.

 

Kitenge & Dashiki – kama tulivyosema mwanzo Ali kiba anatumia sana mavazi ya ki Africa katika video zake na humu tumeona baadhi ya video vixen wakiwa wamevaa vitenge na Dakish lakini kilicho tufurahisha zaidi ni kwamba wametumia Dakish katika yule baba ambae ni baba wa mwanamke na sio suit kama ambavyo wengi hufanya.

Nywele  – Video Vixen wameonekana wakiwa wamesukia yeboyebo, mwingine alikuwa na natural braids zake mwenyewe tungependa zaidi kama tungemuona mlengwa ( Video vixen main character ) angekuwa na natural hair au mtindo wa ki-Africa kuliko kutumia fake hair.

Lakini pia tumeona Turban’s – Viremba vya kitenge humu ndani wakituonyesha namna unaweza kuingia club na kitenge lakini pia bad hair day isikuzuie wewe ku-have fun.

All in all its a beautftul video ina fashion sense in it, imechanganyika modern na traditional ni kitu ambacho yoyote anaweza kuangalia na kupenda uwe mpenda traditional fashion au modern. We conquer with Ali Kiba’s Video unaweza kuiangalia hapo chini na utupe maoni yako.

 

Related posts

5 Comments

 1. beretta 92fs california

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mvumo-wa-radi-by-ali-kiba/ […]

 2. psilocybin mushrooms in colorado

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mvumo-wa-radi-by-ali-kiba/ […]

 3. Kardinal Stick

  … [Trackback]

  […] Here you will find 65785 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mvumo-wa-radi-by-ali-kiba/ […]

 4. 웹툰 사이트

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mvumo-wa-radi-by-ali-kiba/ […]

 5. Bangla Stadium

  … [Trackback]

  […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mvumo-wa-radi-by-ali-kiba/ […]

Comments are closed.