SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MWAMVITA MAKAMBA NDANI YA SKATER SKIRT
Mitindo

MWAMVITA MAKAMBA NDANI YA SKATER SKIRT 

Mwamvita Makamba ni mtoto wa mzee Yussuf Makamba ambae ni mwanasiasa kutoka chama cha Mapinduzi (CCM), Mwamvita ame jipatia jina kutoka na baba yake na kaka yake kuwa wanasiasa wakubwa nchini. ukiachana na hayo mwamvita ameonekana akipenda sana mitindo siku hizi za karibuni amekuwa akituonyesha mavazi yake aliyo yavaa kila siku ana piga picha na kuweka katika kurasa zake za mitandao ya kijamii.

Leo amevaa skater Skirt na Thing High Socks kitu ambacho hatuku kitegemea kutoka kwake, tumezoea kumuona kimama na kiofisi zaidi lakini amependeza ameonekana msichana mdogo mwenye kujua mitindo. kizuri zaidi ni kujistiri kwa socks kwa maana ange vaa skater skirt tupu ingekua habari nyingine we love this look kutoka kwa mwamvita she got style.

index

Mwamvita kavaa blouse ya mikono mirefu, skater skirt ya grey ambayo ina belt nyeusi na thing high socks nyeusi na mid heels nyeusi, pia ame accessorize kwa kuvaa saa na statement necklase. just Stylish.mwamvita.0jpg mwamvita

Related posts

1 Comment

  1. BINANCE REGISTRATION

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mwamvita-makamba-ndani-ya-skater-skirt/ […]

Leave a Reply