SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MWANAMITINDO ABEL KIPASO  AVALISHWA SKIRT
Mitindo

MWANAMITINDO ABEL KIPASO AVALISHWA SKIRT 

Mwanamitindo wa kiumw  kutoka Tanzania Abel Kipaso, avalishwa skirt na blouse na mbunifu Masa Mara Wear

14561904_1766934966908678_2002296161209155584_n

Abel akiwa ame pose na nguo zake hizo za kike 14582500_1110958698957570_3663447949179879424_n

Abel akiwa na wanamitindo wengine katika mavazi kutoka kwa mbunifu Masamara wear14693695_731667666973879_734306018816688128_n 14716515_948856448593586_8969519446523641856_n

Hili litakua geni hapa Tanzania lakini huko kwa wenzetu tumesha liona sana na mmoja kati ya watu maarufu walio vaa hivi ni mtoto wa kiume wa muigizaji Willy Smith aitwae Jaden Smith nae aliwahi kuvaa skirt

Tupe maoni yako kuhusu hili

kupitia

Facebook – afroswaggamag

Instagram – afroswagga

Twitter – afroswaggatz

Related posts