SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mwanamuziki Chemical Anahitaji Kujua Umuhimu Wa Muonekano Katika Kazi Yake
Mitindo

Mwanamuziki Chemical Anahitaji Kujua Umuhimu Wa Muonekano Katika Kazi Yake 

Siku nyingine tena ambayo tumeamka na kushangazwa na maneno kutoka kwa msanii kutoka Tanzania, mara kwa mara wasanii wanapokuwa wamechoshwa na kuwa accused na kitu fulani basi wanachukua maamuzi ya kutoa dukuduku lako kupitia mitandao ya kijamii na leo ilikuwa zamu ya rapper kutoka Tanzania Chemical au Kemikali.

Sisi kama afroswagga tulishawahi kumsema kutokana na kutokuwa na muonekano msafi au wa kisanii,

lakini imeonekana sio sisi tu bali hata fans wake wameliona hilo na kumsema, yeye aliamua kuandika katika mtandao wa kijamii kwamba “fans wake wa furahie kazi zake na si muonekano wake”

this is the weakest thing ambayo tumewahi kuisoma, mpaka Fan wako anaamua kukwambia anamaanisha muonekano wako una matter kwake pia mfano ukaenda kwa mama ntilie ukakuta mmoja sehemu yake safi chakula hakinukii na mwingine chafu chakula chake kinanukia utaenda kula wapi? Obvious kwa yule ambae msafi. Wanaweza kuwa wanapenda mziki wako lakini wasiusikilize au wakaishiwa hamu ya kuuangalia kutokana na muonekano wako,

Kama msanii watu sio wanaangalia tu kazi yako kwamba unaimba, kuigiza au chochote ufanyacho bali muonekano wako, Tunaweza kusema hatuwezi kubadilisha jinsi ambavyo unataka kuonekana kama unataka kuvaa nguo za kiume we cool lakini kuwa basi msafi, yapangilie yaonekane yes kavaa kiume lakini atleast she made efforts. Kuna watu wengi wasichana wanavaa kiume lakini hawalalamikiwi, kwanini? they try to put it on the most stylish way as possible & clean kama Uganda wanae mwanamuziki Keko

Na sio tu kama mtu maarufu lakini kama binaadam kuna sababu nyingi za umuhimu wa muonekano wako

  1. Mtu ambae anaonekana vizuri na muonekano wake ana wa attract wengine na wewe kama celebrity you need it big time
  2. It boosts self-confidence and self-esteem ukiwa umependeza unajisikia vizuri na kupata hata confidence ya kupost mitandaoni bila ya kuwaza kleo nitasemwa nini
  3.  impress people in social situations tunaweza kusema juzi ulilalamika watu wanatusua tu ulimwenguni lakini wewe unashindwa kwanini? ukiachana na kujua ku rap huna muonekano nani atavutiwa na wewe kabla ya wewe kuimba? no one.
  4. Respect ukikutana na mtu amevaa vizuri lazima utahisi ana kitu fulani cha ziada more than ukikutana na mtu ambae anaonekana mchafu japo wanasema don’t judge a book by it cover lakini make your cover attractive and see how many people will be attracted to it.

Hayo ni machache tu yapo mengi ambapo muonekano wako unaweza kukupatia na kukupunguzia inabidi ujifunze zaidi na upate management ambayo itakuelewesha umuhimu wa muonekano wako. Dress to impress.

Related posts

6 Comments

  1. navigate to this site

    … [Trackback]

    […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mwanamuziki-chemical-anahitaji-kujua-umuhimu-wa-muonekano-katika-kazi-yake/ […]

  2. visite site

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mwanamuziki-chemical-anahitaji-kujua-umuhimu-wa-muonekano-katika-kazi-yake/ […]

  3. credit card debt

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mwanamuziki-chemical-anahitaji-kujua-umuhimu-wa-muonekano-katika-kazi-yake/ […]

  4. turners outdoor

    … [Trackback]

    […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mwanamuziki-chemical-anahitaji-kujua-umuhimu-wa-muonekano-katika-kazi-yake/ […]

  5. greasy pink strain

    … [Trackback]

    […] There you can find 51167 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mwanamuziki-chemical-anahitaji-kujua-umuhimu-wa-muonekano-katika-kazi-yake/ […]

  6. read more here

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mwanamuziki-chemical-anahitaji-kujua-umuhimu-wa-muonekano-katika-kazi-yake/ […]

Comments are closed.