SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MWONEKANO WA KIOFISI
Mitindo

MWONEKANO WA KIOFISI 

Ni jumatatu nyingine ambayo watu wengi wana pata shida kuchagua nini wavae ofisini, ukizingatia ni mwezi mtukufu huwezi kuvaa suti ya sketi fupi au suruali ya kubana, inachukua muda kupata suluhisho hasa kwa upande wa wadada lakini tusicho jua kuna vitu vichache tu ambavyo vinaweza kutusaidia kupata muonekano wa kiofisi ukiwa umejistiri

 • Koti

Hakikisha katika kabati lako hukosi makoti ya mikono mirefu yenye rangi tofauti tofauti, lakini hizo rangi zinategemea na mazingira ya ofisi yako kama hayaruhusu basi usivae rangi zinazo ng’aa sana vaa nyeupe,nyeusi,udongo au kijivu kama mazingira yana ruhusu basi una weza kuvaa njano,nyekunde kijani nk. Koti linakupa muonekano wa kiofisi Zaidimodest-business-casual

 

 • Suruali isiyo bana

Kitu kizuri kuhusu suruali zisizo bana ni kwamba zinatengenezwa kimitindo na pia unakua upo huru, ukitaka kuwa kawaida vaa nyeusi,udongo au kijivu hizi zimetulia na utaonekana mtu makini kabisa anae jua nini anafanya, lakini ukitaka kuonekana Zaidi vaa rangi ya kaki.

modest-business-casual-6

 

 • Maxi sketi

Maxi sketi ni chaguo lingingine ambalo haliwezi kukuangusha ukivaa ofisini, ukizivaa vizuri unapendeza na zinakupa muonekano wa kifahari, ndefu na hazibani achana na matirio ya kitambaa kuwa makini katika kuchagua rangi nyeusi, kijani, rangi ya chungwa nk vaa na blauze nzuri na mkanda wa tumboni itapendeza Zaidi.

modest-business-casual-11

 • Hijabi

Vaa hijabu yako uki yakinisha na rangi moja ya katika vitu ulivyo vaa kama rangi ya sketi na hijab au rangi ya blauzi na hijab.

hijab-job-dress

 

Related posts

2 Comments

 1. betclic88

  … [Trackback]

  […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mwonekano-wa-kiofisi/ […]

 2. หมอนวดอิสระ

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mwonekano-wa-kiofisi/ […]

Leave a Reply