Nahreel ni producer wa muziki lakini pia ni mwanamuziki kutoka katika kundi la Navy Kenzo, Nahreel ni moja kati ya watu maarufu wa kiume wanao jitaidi sana kuvaa katika swala zima la fashion, Well leo wakati ana ana launch kazi yake mpya ambayo ameitengeneza mwenyewe ambayo itakuwa kama Coca Cola World Cup Anthem iliyo imbwa na Diamond Platnumz na Jason Derulo, Badala ya kuchagua wabunifu wakubwa kama Gucci na wengine Nahreel alichagua kuvaa vazi kutoka kwa mbunifu mchanga kutoka Tanzania Dominiki Godfrey
ni koti la suit ambalo limefanywa kuwa more casual kwa kupakwa rangi mbalimbali,
View this post on InstagramA post shared by Dominiki Godfrey (@dominikigodfrey) on
Wimbo ambao Nahreel ame produce unaitwa colors labda ndio maana ameamua kuvaa koti hili la rangi rangi,
Nahreel amevaa koti hili na white shirt na suruali ya rangi ya brown amemalizia muonekano wake na miwani na accessories kama pete na saa.
je umependa muonekano wa Nahreel? mfollow Dominiki katika instagram @domikigodfrey
Related posts
6 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you can find 24350 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nahreel-akiwa-amevaa-dominiki-godfrey-vintage-paint-sky-blue-casual-jacket/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nahreel-akiwa-amevaa-dominiki-godfrey-vintage-paint-sky-blue-casual-jacket/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nahreel-akiwa-amevaa-dominiki-godfrey-vintage-paint-sky-blue-casual-jacket/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 70355 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nahreel-akiwa-amevaa-dominiki-godfrey-vintage-paint-sky-blue-casual-jacket/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nahreel-akiwa-amevaa-dominiki-godfrey-vintage-paint-sky-blue-casual-jacket/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nahreel-akiwa-amevaa-dominiki-godfrey-vintage-paint-sky-blue-casual-jacket/ […]