SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Nahreel Navykenzo & Asap Rocky In Double Belt Trend
Mitindo

Nahreel Navykenzo & Asap Rocky In Double Belt Trend 

Moja kati ya trend za zamani ambazo zinarudi kwasasa ni kuvaa double belt (mikanda miwili), miaka kadhaa nyuma tuliona watu maarufu wakiume na wa kike wakiwa wamevalia hii trend na mwaka jana mwishoni tuliona fashion houses mbalimbali zikipitisha models wao kwenye runway wakiwa wamevaa mavazi na double belt.

Mwaka huu tumemuona wnamuziki Nahreel pamoja na ASAP Rocky wakiwa wamevalia mavazi yao na ku-accessorize na mikanda miwili.

Nahreel alipost picha zake instagram akiwa amevali vintage shirt akamalizia muonekano wake na belt belt huku Asap Rocky alivalia hii trend kwenye event ya Met Gala 2023.

Tuambie je unaonaje trend hii clap or slap?

Related posts