Si mwingine ni Msanii wa mitindo ya kiafrika kutoka Tanzania JOCKTAN WA MAKEKE AFRIKA tarehe 5 December kafanya maajabu tena kwenye jukwaa la PICHA FESTIVAL FASHION SHOW lililofanyika katika Hotel ya SAFARI CLUB iliyopo Nairobi nchini Kenya, Tukio hili kubwa la mitindo lilioandaliwa na the Face Modeling Agency lilihusisha wabunifu kutoka Tanzania na Kenya ambapo kutoka Tanzania tumewakilishwa na JOCKTAN WA MAKEKE AFRIKA. Msanii huyu wa mitindo ambaye pia ni mshiriki wa shindano la BONGO STYLE COMPETITION alikuwa akionesha kwa mara ya kwanza collection yake mpya inayoitwa THE AFRICAN BEAUTY IN THE DARKNESS, Ikumbukwe kwamba collection hii ilionyeshwa kwa mara ya kwanza kwenye maonesho makubwa ya sanaa ya bagamoyo internationa festival of arts & culture na collection yote ilinunuliwa na msanii wa muziki wa asili Tanzania MRISHO MPOTO siku hiyo ya event, kwasababu kulikosekana picha kabisa Makeke akaona ni bora kuiendeleza tena
PICHA: MAKEKE AKIWA NAIROBI
Related posts
6 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nairobi-kutambua-makeke-ya-makeke/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nairobi-kutambua-makeke-ya-makeke/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nairobi-kutambua-makeke-ya-makeke/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/nairobi-kutambua-makeke-ya-makeke/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 25305 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nairobi-kutambua-makeke-ya-makeke/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/nairobi-kutambua-makeke-ya-makeke/ […]