Hakuna kitu huwa kinaleta stress kama ifike ijumaa unatakiwa kwenda kazini lakini baada ya muda wa ofisi kuisha unatakiwa kukutana na marafiki maana weekend inakuwa imeshaanza, hapa sasa huwezi kwenda na mavazi ya ofisini na ukifikiria kurudi nyumbani mbali na hizi foleni basi inabidi uchague kati ya kutoka na hayohayo mavazi au urudi nyumbani ughairi kutoka.
Leo tunakuletea namna mbili rahisi ambazo unaweza kubadilisha mavazi yako ya ofisini kwenda kuwa weekend outfits
Kama ni mpenzi wa suit basi namna rahisi ambavyo unaweza kufanikisha hili ni
- kwa kuvaa na bralette ndani ya suit yako
- ukitoka jioni unafungua vifungo vya suit au unatoa kabisa coat
- kunja suruali chini kupata casual loo
- paka bold lipstick
- Fungua visikizo kadhaa vya shirt kisha shusha upande mmoja au yote miwili ya bega ili shirt ipate kuonekana kama off shoulder na kuonyesha skin
- Ongezea accessories eg miwani, hereni, bracelet etc
- Badilisha hair style kwenda more of relaxing out of work hair style.
Image & Inspiration Kutoka Kwa @VanessaPadi & @chiomagoodhair
Related posts
3 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-2-za-kubadilisha-mavazi-ya-kazini-kuwa-weekend-outfits/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-2-za-kubadilisha-mavazi-ya-kazini-kuwa-weekend-outfits/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-2-za-kubadilisha-mavazi-ya-kazini-kuwa-weekend-outfits/ […]