SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Namna 3 Za Kufanya Vazi Lako La Jeans Ku-Stand Out
Mitindo

Namna 3 Za Kufanya Vazi Lako La Jeans Ku-Stand Out 

Inaaaminika jeans ni vazi ambalo la kuvaa kawaida au tunaweza kusema casual look, wengi wetu hatulitilii maanani vazi hili na tunavaa kwenye ile mizunguko yetu ya kawaida, lakini kumbe unaweza kuli-style vazi hili ukaonekana elegant na ku-stand out.

Leo tunakuletea namna 3 unazoweza ku-style vazi hili

Valia na Koti

Inawezekana unaenda kwenye business meetings ambazo zinafanyika weekend na hutaki kuonekana professional sana au una mitoko na wafanyakazi wenzio basi vaa jeans yako na blazer unaweza kuvalia na heels au flats kutokana na mapenzi yako na sehemu uendayo.

Valia na Classic Shirt

Wengi wakivaa jeans wanavalia na t-shirt, clop tops au top za kawaida, kama utachagua ukavalia na classic shirt hasa zile za satin au cotton nzuri, ukaongezea na accessories pamoja na kuli-style vyema basi utapendeza na ku-stand out na vazi lako.

Add Statement Piece

Inaweza kuwa kimono, inaweza kuwa handbad, hereni au mkufu kitu chochote ambacho kitafanya vazi lako liongezeke thamani, ongezea hiko na utafanya muonekano wako u-stand out.

Have a slaying weekend.

Related posts