SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Namna 3 Za Kustyle Kitenge Chako Inspiration Kutoka Kwa Blogger Jackie Mujulizi
Mitindo

Namna 3 Za Kustyle Kitenge Chako Inspiration Kutoka Kwa Blogger Jackie Mujulizi 

We live for a creative mind hasa linapokuja katika swala la fashion na style, inaonekana tunako elekea ni kuzuri as personal fashion bloggers wameanza kujitokeza na kuwa wanatupa tips za vitu mbalimbali including kuslay in budget lakini pia namna za kuwa creative kutumia mavazi yako hasa katika kuyavaa na ku-style zaidi ya mara moja.

Nani hana kipande cha kitenge katika kabati lake? sote tunavyo ni kitu muhimu kuwa nacho hasa kwa mtoto wa kike wa ki-Africa, Fashion & Life Style Blogger kutoka Tanzania Jackie Mujulizi ambae anamiliki blog yake iitwayo  JmFernweh ametuonyesha ni namna gani unaweza ku-style kipande chako cha kitenge ambacho hakija shonwa kwa namna 3, lets dive in shall we?

Muonekano wake wa kwanza ulikua A kitenge turban with modern twist, Amevaa kiremba cha kitenge na black high sit dress huku akiwa amemalizia muonekano huu na miwani, hoop eaarings na gold strap sandals, perfect look for a date night, brunch with the gals lakini pia a helpful tip on a bad hair day, huitaji kukataa mualiko, grab a kitenge & turban it.

Week ya pili alituonyesha namna ya kuvaa kipande cha kitenge kama top, ambapo hii ilikuwa kama a off shoulder crop top, kwa mbele alikifunga in a very stylish way, again unaweza kuvaa hii top kwenye mitoko yako ya usiku lakini to be secure tungekushauri kufunga hapo mbele kwa nguvu au tumia safe pin kuwa na uhakika zaidi.

The back ya kitenge crop top, alivaa top hii na pallazo, hereni kubwa za hoop na gold strap sandals.

Style ya tatu na ya mwisho Jackie alitumia kitenge kuvaa kama hoodie, ameshikilia kitenge chake kisianguke na belt.

Amemalizia muonekano wake na skin jeans nyeusi,na nude pumps, love it.

Unaweza kum-follow Jackie Instagram @jmfernweh

Related posts

3 Comments

  1. roof skylight

    … [Trackback]

    […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-3-za-kustyle-kitenge-chako-inspiration-kutoka-kwa-blogger-jackie-mujulizi/ […]

  2. visite site

    … [Trackback]

    […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-3-za-kustyle-kitenge-chako-inspiration-kutoka-kwa-blogger-jackie-mujulizi/ […]

  3. toronto weed delivery

    … [Trackback]

    […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-3-za-kustyle-kitenge-chako-inspiration-kutoka-kwa-blogger-jackie-mujulizi/ […]

Comments are closed.