SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Namna 3 Za Kustyle Over Sized Shirt
Mitindo

Namna 3 Za Kustyle Over Sized Shirt 

Inawezekana unalo umenunua au unaona namna ambavyo oversized shirt’s zina-trend kwa sasa, karibu kila duka wanauza hizi shirts na kila fashionista analo. Ni moja kati ya essential’s pieces kwasasa, muhimu kuhusu oversized shirt ni kwamba linavalika kwa namna mbalimbali lakini pia trend inaweza kuisha na bado ukaendelea kulivaa sio kama trend nyingine.

Leo tunakuletea namna 3 ambazo unaweza kustyle shirt hili iwe unalo na umechoka kulivaa kwa namna moja au huna lakini ungependa kuwanalo na hujui namna ambavyo utalistyle.

Unaweza kulivaa kama sport chic, ukavalia na tracksuit yako pamoja na heels au hata sandals, au raba kwa mitoko ya weekend. Pia linavalika kama cover up, una gauni lako lina mikono mwembamba na unatamani kulivaa ila hujisikii kuonyesha mikono basi oversized shirt inaweza kutumika kama cover up ukaonekana stylish. Lakini pia unaweza kulivaa lenyewe tu kama shirt dress kwa ajili ya mitoko yako ya usiku, kwa usalama zaidi ndani valia biker short au short denim jeans.

Image & Inspiration Kutoka kwa @siyabunny

Related posts

4 Comments

  1. gold chains for dogs

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-3-za-kustyle-over-sized-shirt/ […]

  2. Golden Teacher Mushrooms – 4 Oz,

    … [Trackback]

    […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-3-za-kustyle-over-sized-shirt/ […]

  3. buy dmt vape pens​

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-3-za-kustyle-over-sized-shirt/ […]

  4. รับแพ็คสินค้า

    … [Trackback]

    […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-3-za-kustyle-over-sized-shirt/ […]

Comments are closed.