Kuna muda tuna choka kuvaa nguo za kike au zile zile kila siku, Tuna kua bored na hatujui nini cha kuvaa. Wakati mwingine tuna penda tu tuvae mashati ya watu wetu wa karibu wa kiume kama kaka, mjomba,baba na hata mchumba lakini yanaweza yakawa makubwa au yakatutosha lakini usijue ni namna gani ulivae, basi hizi ni namna tatu ambazo unaweza kuvaa shati la kiume na unakatoka nalo kwenye mitoko mbali mbali,
unaweza kuvaa Tshirt au shtai la kiume uka ongezea na Belt la kiunoni hili likae kikike zaidi, unaweza ukavalia na sketi fupi, skin tight au hata skin jeans, unaweza kutoka katika mitoko ya mchana na marafiki.
Pia unaweza kuvaa shati hilo kama kijigauni (shirt dress) ukaongezea na kubeba mkoba na kijikoti kwa juu ukawa mtoko wako wa usiku na mpenzio au hata kwenda kuangalia filamu na marafiki.
Unaweza ukaamua kutokelezea kiume kabisa, ukachukua suruali yake kama ina kutosha na shati pia ukaviaa ukapata muonekano wa kitofauti siku hio wazungu huita tomboy swagg/style.
Hili ni chaguo zuri pale ambapo huna cha kuvaa au umechoka kuvaa nguo zako, na vile vile katika ile mitoko ya ghafla.
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you will find 45463 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-3-za-kutokelea-na-shati-la-kiume-weekend-hii/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-3-za-kutokelea-na-shati-la-kiume-weekend-hii/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 30184 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/namna-3-za-kutokelea-na-shati-la-kiume-weekend-hii/ […]